Msanii wa Bongo Fleva, Baraka the Prince anauona muziki ni maisha, jambo linalomfanya afikirie zaidi namna mashabiki wake wataishi na kazi zake, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa ...
Makala Muziki Ijumaa juma hili tunazungumza na msanii wa Bongo Fleva na bongo Movie Flora Mvungi, Mke wa msanii wa kitambo H. Baba. Ambatana na Ali Bilali kufaham H. Mama anajipanga vipi katika ...
Iwapo unazungumzia kuhusu fedha, kuhusu muziki bora, tuzo na ushawishi basi Diamond ndio mwanamuziki mwenye ufanisi Afrika mashariki. Kifedha msanii huyo wa muziki wa bongo anamiliki mali Tanzania ...