HUKO Simba bado panawaka moto katika usajili wa dirisha dogo linalotarajiwa kufungwa Januari 30, 2026, kwani kuna uwezekano wa kuachana na idadi kubwa ya mastaa waliopo sasa na kushusha sura mpya za ...
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba wameendelea kuimarisha kikosi chao katika dirisha hili dogo la usajili kwa kumtambulisha winga, ...
DAR ES SALAAM: MSEMAJI wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kumpokea na kumpa ushirikiano beki wa kushoto Nikson Kibabage, akisisitiza kuwa ni mchezaji mwenye uwezo mkub ...
Wakati mshambuliaji Ibrahim Ajib akiwa anaelekea Jangwani, klabu ya Simba inaonekana kutokuwa na shida juu ya hilo kwasababu tayari ipo njiani kumvalisha Emannuel Okwi Jezi nambari 25 msimu ujao. “Ni ...